Posts

Showing posts from July, 2024

EMIRATES UNVEILS FIRST DESTINATIONS TO BE SERVED WITH REFURBISHED BOEING 777

Image
MwelekeoMedia,Dubai  Emirates has unveiled the first cities on its network to be served with its newest Boeing 777 cabin interiors.  The airline plans to introduce its refurbished B777s to Geneva, Tokyo Haneda and Brussels, offering customers more opportunities to experience the airline’s signature Premium Economy on this aircraft, and for the first time Emirates’ next generation Business Class seats, set in a new 1-2-1 configuration. Emirates flights on the refreshed Boeing 777 to Geneva, Tokyo Haneda and Brussels go on sale today and can be booked on emirates.com, the Emirates App or via travel agents. Deputy President and Chief Commercial Officer, Emirates Airline Adnan Kazim, said:  “With the addition of the newly retrofitted Boeing 777s to our fleet, we’re capturing the opportunity to introduce our highly acclaimed products like Premium Economy to more cities already served by this aircraft type in our network, in addition to more seating variety in four classes.”He ...

SHEHE ASIMAMISHWA KAZI KWA KUFUNGISHA NDOA FEKI

Image
Na Allan Kitwe,DmNewsOnline TABORA BARAZA la Mashehe Mkoani Tabora limemsimamisha kazi Shehe wa Kata ya Kidatu katika Halmashauri ya Manispaa Tabora, Bakari Sikonge, kwa kukiuka maadili ya dini kwa mujibu wa katiba inayoongoza Baraza hilo. Akitoa maamuzi hayo jana Mwenyekiti wa Baraza hilo ambaye ni Shekhe wa Mkoa huo Alhaj Ibrahim Mavumbi amesema kuwa mbali na kusimamishwa pia wataendelea kufuatilia mienendo yake ili kujiridhisha kama amebadilika au la. Amebainisha kuwa baada ya kupokea malalamiko dhidi yake, aliitwa na Uongozi wa Baraza na kutakiwa kutoa maelezo ya tuhuma zinazomkabili lakini hakuzingatia kile alichoelekezwa badala yake alienda kwenye vyombo vya habari. Shehe Mavumbi ametaja tuhuma kubwa inayomkabili kuwa ni kumfungisha ndoa mwanamke ambaye yupo kwenye ndoa nyingine kwa lengo la kunufaika na fedha kutoka kwenye taasisi moja iliyokuwa inatoa fedha kwa wanandoa wapya. Amefafanua kuwa Shehe huyo alimhadaa Shehe Mkuu na Mufti wa Tanzania, Alhaj Abubakar Zuberi Bin Ali am...

PURA YAJIPANGA KUWEKA NGUVU KWA WAWEKEZAJI SEKTA YA GESI

Image
Na Prosper Rutayuga,MwelekeoMedia  PURA kupitia Mwenyekiti wa bodi Ndg. Halfan  Ramadhani Halfani amesesema wamejipanga vizuri kuongeza wawekezaji kwenye utafutaji kwani kwa mda mrefu walikuwa hawana wawekezaji wa kutosha  Amesema sasa hivi wanalo jukumu la kutafuta wawekezaji hususani kwenye hayo maeneo ambayo yako wazi ili kutekeleza hilo kwa sababu taasisi imekua ikifanya matayarisho. Amesema sheria ya mafuta inasema wawekezaji watafutwe kwa njia ya ushindani na sio kwa kuokotwa  na ili uwapate kwa ushindani kuna kitu kinafanyika kinaitwa Duru, Duru ni mkutano wa kutangaza maeneo husika ya miradi hivyo wanakuja pale kisha wanapewa utaratibu wa kuandika madokezo ya kuomba miradi. Amesema na Duru hiyo inaweza kufanyika labda robo ya mwaka ujao na duru inakuwaje ukisoma Sheria ya mafuta ni kazi ya waziri kwasababu kutoa leseni ni kazi ya waziri na waziri akialikwa pale atakuja kumwaga sera  na kuainisha huduma inayotolewa. Aidha ameongeza kuwa PURA wanajuku...

TAWA YANADI FURSA ZA UWEKEZAJI MAONESHO YA 48 YA KIMATAIFA ALMAARUFU SABASABA 2024

Image
Na Mwandishi wetu,MwelekeoMedia Dar es Salaam. MAMLAKA ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) inatumia maonesho ya 48 ya kimataifa ya kibiashara yanayoendelea Jijini Dar es Salaam kuhamasisha Umma wa watanzania wawekezaji na wageni  kutoka mataifa mbalimbali kuwekeza katika maeneo  inayoyasimamia huku ikijinasibu kuwa na fursa lukuki za uwekezaji Akiongea na wageni waliotembelea banda la TAWA lililopo ndani ya banda la Wizara ya Maliasili na Utalii Afisa utalii Daud Tesha amesema TAWA ina uwanda mpana wa fursa za uwekezaji unaotoa mwanya kwa wawekezaji wa aina mbalimbali kuwekeza katika Taasisi hiyo Akizitaja fursa hizo Tesha amesema yapo maeneo mengi yanayohitaji wawekezaji na uwekezaji katika Taasisi hiyo kama vile maeneo ya utalii wa picha kwenye maeneo ya hifadhi za Wanyamapori, maeneo ya kihistoria yenye Utalii wa kiutamaduni, eneo la uwekezaji mahiri (Special Wildlife Investment Concession Areas - SWICA), Uwindaji wa Kitalii na Ufugaji wa Wanyamapori "TAWA imetenga ...