DC KOMBA AIPONGEZA BoT
Na Richard Mrusha Mkuu wa wilaya ya Geita Hashim Komba Ameipogeza BoT kwa namna ambavyo wameendelea kuelimisha Umma kuhusu taasisi yao kwa wananchi wanaotembelea Banda Hilo ndani ya viwanja vya Samia Suluhu Hasan kwenye maonesho ya nane Teknolojia ya Madini Mkoani geita. Komba amepata Fursa ya ya kuzungumza na watumiahi wa Benki na Miongoni mwa akitengo alichotembelea ni kitengo cha usimamizi wa masuala ya fedha ,usimamizi wa masusla ya benki na mikopo Amesema Kumekuwa na changamoto kubwa sana kwenye maeneo yetu juu ya uwepo wa taasisi ambazo hazijasajiliwa na kutoa mikopo kwa riba kubwa Zaidi ,zinawafilisi wananchi kwa kutofuata taratibu Amesema BoT wanancho kitengo maalum ambacho kazi yake ni kuhakikisha kwamba kunakuwa na taasisi zinazotoa mikopo kwa wananchi zikiwa zimesajiliwa na zikiwa zinazingatia sera za kifedha za Taifa letu kwa ujumla. Amesema Moja ya jambo kubwa lililomfurahisha nikuona namna ambavyo BoT inazibiti taasisi zinazotoa mikopo inayou...