NDUGU ABASI MTEMVU ACHANGISHA HARAAMBEE MAALUM KATIKA KANISA LA WAADVENTISTA


Na Mwandishi Wetu,DmNewsOnline 

MWENYEKITI  wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Dar es Salaam  Abas Zuberi Mtemvu na MNEC  wa CCM  Mkoa  Juma Simba Gadafi Pamoja na Mwenyekiti wa Ccm Wilaya ya Kinondoni Shaweji Mkumbura wamehudhuria Ibada ya Kanisa la Adentista wa Sabato Yombo Dovya Wilaya ya Temeke.

Katika ibada hiyo M/kiti wa Ccm Mkoa  Abas Zuberi Mtemvu Amealikwa ili Kanisa hapo kwa Lengo la Kufanya Haraambee Maalum ya Kuchangia Ujenzi wa Kanisa hilo Pamoja na Vifaa vya Kisasa Kwaajili ya Kwaya Katika hapo.

Kupitia haraambee hiyo Mwenyekiti aliifanikiwa Kuchangisha fedha taslim Shilingi Milioni 11,000,000
na  ahadi Shilingi 9,000,000

Viongozi wa Kanisa la Waadventista wa Sabado Dovya Wamemshukuru  Abas Mtemvu kwa Kuwa na Moyo wa Kujitolea Pamoja na Kukubali Mualiko wa Kuwa Mgeni Rasmi Katika haraambee hiyo.





Comments

Popular posts from this blog

MAHAFALI YA COHORT YA 11 YA MWANAMKE KIONGOZI, SPIKA ATOA MATUMAINI MAPYA USAWA WA KIJINSIA

‎Wingu Africa appoints Prasad Acharya as Director of Sales for Tanzania ‎

ACCELERATED ENTRY : HOW EAST AFRICA LEAPFROGGED INTO THE CLOUD AGE