Posts

Showing posts from September, 2024

DC KUBECHA AKABIDHI KITI MWENDO KWA NIABA YA MHE RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN

Image
Na Ashrack Miraji,DmNewsOnline   Tanga  Mkuu wa wilaya ya Tanga Mhe Japhari Kubecha amekabidhi kiti mwendo [Wheelerchair] kwa  Ester ambaye ni mkazi wa Magomeni jijini Tanga baada ya kuonekana akitembea Kwa Shida kwenda kwenye shughuli zake za kiuchumi . " kwanza nitoe shukrani za dhati Kwa Mhe Rais wa jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan Kwa Namna ameguswa na hili tukio la ndugu Yetu Ester Ambaye hivi karibuni ameonekana kweny mitandao ya kijamii akitembea Kwa Shida na kuomba msaada Kwa watu Mbalimbali " "Alisema kubecha " "Hivyo basi Kupitia Kwa Mhe Naibu Waziri ofisi ya waziri Mkuu Anayeshughulikia sera na Uratibu Mhe Ummy Nderiananga Baada ya Kuona Video hiyo Aliniagiza na Kuniambia Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan Amempatia Dada Ester kiti Mwendo Ambacho ataweza Kufanya Shughuli zake kwa Ufasaha Mkubwa" Nitumie Fulsa hii Kwa kuwaambia Wananchi Wakazi wa Tanga Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ndiyo Mama pekee na ndiyo mlezi wetu sis...

EMIRATES CELEBRATES OKTOBERFEST ONBOARD AND IN LOUNGES

Image
MwelekeoMedia Emirates is toasting the world-renowned German folk festival Oktoberfest, with traditional Bavarian cuisine and beloved German entertainment onboard flights to and from Munich, Hamburg, Düsseldorf, and Frankfurt, as well in German airport lounges, up till October 6. The vibrant celebration of Oktoberfest will see customers enjoy a Bavarian starter, main course and dessert for both lunch and dinner across all classes, bistro bites in the iconic onboard A380 lounge, and a variety of classic Oktoberfest dishes in the world-class airport lounges. On flights from Dubai to Germany, First and Business Class customers will enjoy appetisers of potatoe and leek soup with herb oil, beef consommé with meatballs, carrot and mushroom as well as an asparagus salad with sliced cured beef, cauliflower purée, poached quail eggs and herb oil dressing.  Main courses will feature roasted beef fillet served with jus, braised red cabbage and bread dumplings and meals will be accompanied by ...

EMPOWERING PILOTS WITH DATA

Image
MwelekeoMedia DUBAI On every one of Emirates’ 470 flights that depart each day, all pilots actively use GE FlightPulse™, an analytics application that provides vital operational data relating to the safety and fuel efficiency performance of each mission. Since it was introduced, FlightPulse has been one of the key tools supporting Emirates’ fuel and emissions reduction initiatives, in addition to improving on key safety metrics. GE’s FlightPulse provides pilots with flight summary data from their individual missions, as well as information on how they operated the aircraft so they can analyse their performance related to key efficiency and safety measures and review and plan for the next flight with data driven insights.  Emirates and GE have developed a customised dashboard with defined KPIs and analysis tailored to the airline’s requirements and operational averages and is available to all pilots and management.  FlightPulse also supports Emirates with photo-realistic custom...

ONESHO LA SWAHILI INTERNATIONAL TOURSIM EXPO KUFANYIKA OKTOBA 11 HADI 13 2024

Image
Na Prosper Rutayuga,MwelekeoMedia Dar Es Salaam Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) inatarajia kufanya  onesho la  nane lijulikanalo kama Swahili International Tourism Expo(S!TE) litakalofanyika Oktoba 11 Hadi 13 ,2024 Jijini Dar es Salaam. Taarifa hiyo imetolewa leo Septemba 12,2024 Jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Utalii Tanzania Ephraim Mafuru wakati akizungumza na Waandishi wa habari kuelezea uzinduzi wa Onesho hilo. Aidha Mafuru amesema kuwa lengo la onesho hilo ni kuwakutanisha Watoa huduma waliopo katika mnyororo wa thamani wa Utalii Ndani na nje ya Nchi ambao watapata fursa ya kuonesha bidhaa zao za Utalii na kutengeneza Mtandao wa Biashara( Business Network) " Onesho la S!TE linaenda sambamba na Utekelezaji wa sera ya Taifa ya Utalii ya Mwaka 1999 pamoja na mkakati wa kutangaza Utalii Kimataifa ( 2020-2025 ) ambayo imetilia mkazo kutangaza Tanzania kama kivutiok Bora Cha Utalii Duniani" amesema. Nakuongeza kuwa ...