DC KUBECHA AKABIDHI KITI MWENDO KWA NIABA YA MHE RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN
Na Ashrack Miraji,DmNewsOnline
Tanga
Mkuu wa wilaya ya Tanga Mhe Japhari Kubecha amekabidhi kiti mwendo [Wheelerchair] kwa Ester ambaye ni mkazi wa Magomeni jijini Tanga baada ya kuonekana akitembea Kwa Shida kwenda kwenye shughuli zake za kiuchumi .
" kwanza nitoe shukrani za dhati Kwa Mhe Rais wa jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan Kwa Namna ameguswa na hili tukio la ndugu Yetu Ester Ambaye hivi karibuni ameonekana kweny mitandao ya kijamii akitembea Kwa Shida na kuomba msaada Kwa watu Mbalimbali "
"Alisema kubecha "
"Hivyo basi Kupitia Kwa Mhe Naibu Waziri ofisi ya waziri Mkuu Anayeshughulikia sera na Uratibu Mhe Ummy Nderiananga Baada ya Kuona Video hiyo Aliniagiza na Kuniambia Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan Amempatia Dada Ester kiti Mwendo
Ambacho ataweza Kufanya Shughuli zake kwa Ufasaha Mkubwa"
Nitumie Fulsa hii Kwa kuwaambia Wananchi Wakazi wa Tanga Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ndiyo Mama pekee na ndiyo mlezi wetu sisi wote na Mimi kama muwakilishi wake kwenye Wilaya hii nitaendelea kufanya kazi Kwa bidii na kuweza kuwatumikia Wananchi hasa Katika Maendeleo
Leo tunamuona Mhe Rais wa anavyotoa Huduma Kwa Wananchi Taasisi Mbalimbali za kiserikali na ambazo siyo za kiserikali niwaombe tumpe ushirikia mhe Rais Kwa kazi kubwa anazozifanya kwenye Taifa letu




Comments
Post a Comment