Posts

Showing posts from October, 2024

NAIBU KATIBU MKUU UCHUKUZI ATEMBELEA OFISI ZA TMA.

Image
Na mwandishi wetu,DmNewsOnline DAR ES SALAAM  NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Uchukuzi Ndg. Ludovick Nduhiye amefanya ziara ya kutembelea ofisi za Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) zilizopo katika jengo la Ubungo Plaza, Dar es Salaam ikiwa ni moja ya malengo yake ya kuzitambua Taasisi zilizopo chini ya Wizara ya Uchukuzi, kufahamu majukumu ya kiutendaji na kuelewa changamoto zinazowakabili na Mikakati ya kuimarisha Taasisi na utoaji wa huduma. Baada ya taarifa ya utendaji kutoka TMA, Naibu Katibu Mkuu, Uchukuzi aliipongeza TMA kwa kuendelea kuimarisha na kuboresha huduma za haki ya hewa nchini, ikiwemo kuongeza usahihi wa utabiri,  akieleza kuwa yeye ni mmoja wa wadau wa Mamlaka na anafuatilia, kuzingatia na kutumia taarifa za hali ya hewa. 'Kiuekweli taarifa zenu ni nzuri, niwapongeze sana TMA, mimi ni mdau wa taarifa zenu na nimekuwa nikizifuatilia, kuzizingatia na pia kuzitumia, naweza kusema TMA ya sasa si kama ile za zamani." Alisisitiza Ndg. Nduhiye. Aidha, akiwasilisha...

MBUNGE ULENGE NA JITIHADA ANAZOZICHUKUA KUMUUNGA MKONO SAMIA UBORESHAJI ELIMU TANGA

Image
Na Yusuph Mussa,DmNewsOnline TANGA                       MBUNGE  wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga Mhandisi Mwanaisha Ulenge anasema Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan tangu aingie madarakani Machi 19, 2021 amekuwa anafanya kazi kubwa katika kuboresha huduma za jamii ikiwemo elimu, afya na maji. Mhandisi Ulenge anasema Dkt. Rais Samia amefanya yote hayo ikiwa ni Utekelezaji wa Ilani ya CCM 2020-2025. Na ilani ya CCM katika kipengele cha elimu, malengo yake ni kuzalisha rasilimali watu bora kwa maendeleo  ya kijamii na kiuchumi. "Hivyo, Serikali imetimiza wajibu wake, ni wajibu wetu  sisi wananchi kuunga mkono jitihada za Serikali ya CCM  kwa kuhakikisha tunaitumia vema miundombinu bora ya elimu ili  jamii yetu  izalishe rasilimali watu bora kwa maendeleo  ya jamii yetu na Taifa letu kwa jumla" anasema Mhandisi Ulenge.  Ulenge ameongeza kuwa katika matokeo ya kidato cha nne bado kuna id...

RAIS SAMIA KUWA MGENI RASMI KONGAMANO LA KISWAHILI KUBA

Image
Na Angelina Mganga,DmNewsOnline  DAR ES SALAAM  RAIS wa Jamhuri ya Muumgano Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Kongamano la kwanza la Kimataifa la Kiswahili litakalofanyika Jijini Havana nchini Kuba kuanzia Novemba 7 hadi 10,2024. Hayo yamebainishwa na Waziri wa Utamaduni,Sanaa na Michezo (BAKITA) Dkt.Damas Ndumbaro  wakati akizungumza na waandishi wa habari leo Oktoba 30,2024 Jijini Dar es Salaam.  Dkt.Ndumbaro amesema kuwa zaidi ya washiriki 600 sawa na asilimia 95 watahudhuria kongamano hilo ambapo zitakuwepo taasisi binafsi,vyuo vikuu na vyama kiswahili kutoka nchi mbalimbali Dunia . "Tangu mwaka 2021 UNESCO walitambua kiswahili na wakaweka Tarehe 7 kuwa siku ya Kiswahili duniani kwani Chama Cha TANU kiliasisiwa ,kwahiyo lugha ya Kiswahili ni ya Saba dunia watu millioni 500 wanazungumza kiswahili duniani  kwahiyo huu ni muda muafaka wa kukibidhahisha  kiswahili katika mataifa mbalimbali",amesema Dkt. Ndumbaro Pia amesse...

EMIRATES CELEBRATES JOHANNESBURGS HARDWORKING TEACHERS WITH SPECIAL ADITION BAGS

Image
MwelekeoMedia Dubai- 30 October Recognising the dedication of South Africa’s hardworking educators, Emirates has gifted 100 teachers with sold-out, limited-edition backpacks from its second ‘Aircrafted by Emirates’ repurposed luggage collection, as part of the airline’s commitment to ‘connecting communities’ by building enduring relationships and making meaningful differences in the destinations it serves. Afzal Parambil, Emirates Regional Manager for Southern Africa said, “Since our first flight to Johannesburg in 1995, we have not only invested in scaling our operations and developing South Africa’s tourism sector but invested in the community too.  Education, much like travel, broadens the mind and brings immeasurable value to society at large. Celebrating these shared values, we wanted to show our appreciation for the teachers in one of Johannesburg’s most impoverished townships. We are proud to enrich the communities we serve.” In the same month as World Teachers Day, the Emir...

ATE HOSTED THE 3rd WAAJIRI HEALTH BONANZA

Image
MwelekeoMediaOnline 19th October 2024, ATE hosted the 3rd Waajiri Health Bonanza at the University of Dar es Salaam Grounds. The theme of this Bonanza was "Prevent Non-Communicable Diseases: Increase Workplace Productivity". The Chief Guest at the Bonanza was the Minister of State PMO - Labour, Youth, Employment and Persons with Disabilities, Hon. Ridhiwani Jakaya Kikwete (MP). During the bonanza, the Chief Guest  officially launched the Guide for Employers on HIV and Non-Communicable Diseases at the Workplace. The Bonanza was the climax of the 3rd edition of the Waajiri Health Bonanza.                                                                                                                  ...

EMIRATES BOLSTERS COMMERCIAL TEAM WITH KEY APPOINTMENTS ACROSS THE MIDDLE EAST AND AFRICA

Image
MwelekeoMediaOnline, Dubai Emirates has announced several appointments in its commercial team across key markets in the Middle East and Africa to help further strengthen the airline’s leading position and support its long-term strategic initiatives. The rotation will enable seasoned outstation managers, including six UAE Nationals, to further enhance Emirates’ commercial capabilities in their respective markets by bringing in their expertise during a pivotal period of growth and expansion for the airline.   Adnan Kazim, Emirates’ Deputy President and Chief Commercial Officer commented: “Our long-serving commercial managers have played integral roles in Emirates’ global operations over the years, and today’s appointments demonstrate our confidence in their continued contributions to strengthen our business across the GCC and Africa. I wish the commercial managers all the success in their new roles and have full confidence in their ability to further thrive as Emirates’ a...