RAIS SAMIA ATIMIZA AHADI YA KUKUTANA VIONGOZI WA KIMILA WA JAMII YA KIMASAI
Na Mwandishi wetu,DmNewsOnline
ARUSHA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali wa Serikali pamoja na wa kimila wa jamii ya Kimasai (Malaigwanani) wanaoishi Ngorongoro na maeneo jirani katika Ikulu ndogo ya Arusha tarehe 01 Desemba, 2024.
















Comments
Post a Comment