PURA YATOA WITO KWA WAWEKEZAJI KUWEKEZA KATIKA NISHATI SAFI



Na Mwandishi wetu,DmNewsOnline
Dar es Salaam

MKURUGENZI wa  Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA),Mhandisi Charles Sangweni ametoa wito kwa wawekezaji kuja kuwekeza katika Nishati Safi kutokana na kuwepo mikakati imara yenye mazingira wezeshi, amani na utulivu inayotoa fursa kwa maendeleo ya kiuchumi.

Pia Sangwenin amesema kwamba kutokana na kuwepo kwa mazingira wezeshi, amani na utulivu shughuli za uzalishaji katika mkondo wa Juu wa Petrol kwenye nyanja ya ajira imeongezeka kutoka asilimia 55 hadi 85.

Hayo ameyabainisha leo julai 9 katika Viwanja vya sabasaba ambapo Maonesho ya 49 ya kimataifa yanaendelea  wakati akizungumza na Waandishi wa habari mara baada ya kutembelea na kujionea hali halisi ya Maonesho hayo.



Comments

Popular posts from this blog

MAHAFALI YA COHORT YA 11 YA MWANAMKE KIONGOZI, SPIKA ATOA MATUMAINI MAPYA USAWA WA KIJINSIA

‎Wingu Africa appoints Prasad Acharya as Director of Sales for Tanzania ‎

ACCELERATED ENTRY : HOW EAST AFRICA LEAPFROGGED INTO THE CLOUD AGE