Posts

Showing posts from July, 2026

MCHANGE AHOJI: DK. NCHIMBI ANAJUA MADHARA YA KAULI ZAKE AU ANATUTEGA?

Image
Na Mwandishi Wetu,Mwelekeomedia Mchambuzi wa masuala ya siasa, jamii na maendeleo, Habibu Mchange, ametoa tafakuri kuhusu utata wa kauli za mara kwa mara za Makamu wa Rais, Dk. Emmanuel Nchimbi, akisema kutokana na nafasi yake ya kikatiba kama Msaidizi Mkuu wa Rais kwa mujibu wa Ibara ya 47(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kauli zake zinapaswa kupimwa kwa uzito mkubwa kwa kuwa zina athari kwa Serikali, mshikamano wa uongozi na imani ya wananchi kwa taasisi za dola. Katika tafakuri hiyo yenye kichwa "DK. NCHIMBI ANAJUA MADHARA YA KAULI ZAKE AU ANATUTEGA?", Mchange amechambua kauli ya Dk. Nchimbi kwamba "Katiba iliyopo ina mapungufu na inampa Rais madaraka yasiyo na maana," pamoja na wito wake wa "komaeni, pambaneni mpate Katiba mpya," akisema kauli hizo zimezua mjadala mkubwa wa kikatiba na kisiasa, hasa wakati Serikali tayari imeeleza kuwa mchakato wa Katiba mpya utaanza baada ya kukamilika kwa maridhiano ya kitaifa.  Amehoji kuwa iwapo Ser...

PROTECTING OUR CHILDREN TODAY WILL SHAPE THEIR FUTURES TOMORROW ‎

Image
Mwelekeomedia,Dar es salaam ‎Africa has the youngest population in the world with more than 400 million young people aged between the ages of 15 to 35 years. This is a generation filled with potential and the power to shape the continent’s future. Yet, for millions of children across malaria-endemic regions, repeated malaria infections continue to interrupt childhood at some of its most important stages. ‎According to research, malaria disproportionately affects children in Tanzania, highlighting their vulnerability to infection. The predominance of P. falciparum mixed infections indicates the complex epidemiology in the country. The high burden in Lake zones stresses the need for new interventions. ‎Experts warn that malaria’s long-term impact on children’s futures deserves more attention. ‎“Malaria does not only affect health in the moment,” says Brian Tarimo, Principal Research Scientist at Ifakara Health Institute (IHI) and a Lead Scientist at the Transmission Zero (T0) program...