Posts

Showing posts from October, 2026

A scientific breakthrough in malaria is only the beginning ‎

Image
Dar es Salaam, Tanzania   ‎Scientific breakthroughs make headlines, but behind the scenes are years of research, learning and conversations needed to turn promising science into something people understand. ‎For malaria, despite decades of progress, the disease remains a major global health challenge. The WHO estimated 282 million malaria cases and 610,000 deaths globally in 2024, with the African Region accounting for 95% of disease burden, of which 4 out 5 deaths are children under five years of age. The figures show why scientists are looking for new ways to complement the malaria interventions already saving lives. ‎In Tanzania, researchers from Transmission Zero are investigating gene drive, a malaria-free technology that focuses on modifying malaria mosquitoes so that the malaria parasite cannot effectively develop inside them, reducing their ability to transmit the disease. ‎In 2025, research published in Nature marked an important milestone. Transmission Zero scientis...

‎WAJIRI WATAKIWA KUWEKEZA KATIKA AFYA NA USTAWI WA WAFANYAKAZI ‎

Image
Na Mwandishi wetu, Mwelekeomedia  ‎NAIBU Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Ajira na Mahusiano, Evalline Munis amewataka waajiri nchini kuweka malengo yanayopimika ya afya na ustawi wa wafanyakazi katika mipango yao ya kila mwaka ili kuhakikisha uwekezaji katika afya unaleta matokeo yanayoonekana katika kuongeza tija, ubunifu na ushindani wa biashara. ‎ ‎Ametoa kauli hiyo Jijini Dar es Salaam wakati akizungumza katika bonanza la tano la afya la waajiri lililoandaliwa na Chama cha Waajiri Tanzania (ATE) na kuongozwa na kauli mbiu isemayo Wekeza kwenye afya, fungua fursa kwa mafanikio zaidi limewakutanisha waajiri, wafanyakazi na wadau mbalimbali kwa ajili ya michezo, uchunguzi wa afya na elimu kuhusu ustawi mahala pa kazi. ‎ ‎Amesema waajiri wanapaswa kuifanya afya kuwa sehemu ya mikakati ya biashara zao badala ya kuichukulia kama jambo la msimu, kwa kuwekeza katika uchunguzi wa afya wa mara kwa mara, kinga dhidi ya magonjwa yasiyoambukiza, afya ya akili na ...